Wakati rais Obama akiendelea na zira yake nchini Tanzania kule nchin AfhganstanWanajeshi wake watano (5) wanaofanya kazi chini ya NATO ameuawa na bomu liliowekwa pembeni mwa barabara huko Kandar kusini mwa Afghanistan.
Bomu ilo linalodaiwa kutegwa na kundi la Taliban huku wakiendeleza na kampeni yao ya kutaka makundi ya kigeni yasiendelee kuwepo nchini kwao.
Msemaji wa ISAF alisema wanjeshi waliofariki hapo ni wengi sana lakini hii haitamanisha kuwa atagairi lengo lao wao wataendelea kutoa msaada kwa Afaghastan kwa malengo ya baadae.
Mpaka sasa wanajeshi 47 wamefariki na wakimarekani 37.
Wiki iliyopita pia wnajeshi kutoka Uingereza walipata shambulio kama hili huko Helmand
.jpg)
.jpg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni