Jumatatu, 1 Julai 2013

EXCLUSIVE-BUSH HUYU HAPA ZAMBIA AMZUNGUMZIA OBAMA

Rais wa zamani wa Marekeni George W Bush amesema kuwa yeye ni mmoja ya watu wanaomuheshimu sna Mzee Mandela.

ambaye alikuwa na mke wake Laura nchini zambia katika ukarabati wa kituo cha afaya alipata nafasi ya kuzungumza na vyombo vya habari.

Alisema duniani kuna viongozi wanakuja na kuondoka lakini mandela hataendelea kudumu milele na milele.

Bush alisema Mandela ni alama kubwa sana ya kupinga ubaguzi duniani.

Bush anatarajiwa kufanya mkutano katika jiji la Dar es Salaam huku mke wa rais Obama,Michele akiwamo mmoja ya wahudhuriaji wa mkutano huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni