Jumapili, 7 Julai 2013

TRENI LA MAFUTA LA TRELA 73 LALIPUKA MLIPUKO WASAMBAA MAILI 155 NA KUUA

Polisi wamesema kuwa inasadikika mtu mmoja amefariki baada treni la mafuta  kulipuka mji wa Lag Magnetic nchini Canada na kusababisha maafa makubwa sana.

Mlipuko ulisababisha maafa kwa umbali wa km 250 sawasa na maili 155 ni umbali mkubwa huku watu 1000 wakipatiwa msaada wa uokozi huku moshi mzito na hewa ikiathiriwa kwa eneo kubwa.

Mashaidi wanasema kuwa chanzo ni mwendo kasi wa treni ulikuwa mkubwa lakini wenyewe wanasema injini ndio chanzo.

Mashaidi walisema kuwa treni hilo lilkuwa linaongeza mafuta na kubadilishana madereva ndipo mlipuko ukatokea

Treni ilikuwa imebeba mafuta ghafi kutoka Shamba Bakken katika North Dakota. Montreal, Maine & Atlantic na kusafiri zaidi ya 800km (500 miles) ya kufuatilia kuwahudumia Maine, Vermont, Quebec na New Brunswick.

Waziri Mkuu Stephen Hurpher alisema kuwa macho yao yote ni kuwasaiidai na kuwaombea waliothirika.

Treni lilkuwa na matrela 73 yaliyojazwa mafuta na kusababisha mlipuko hatari katka eneo hilo kribu na mpaka na nchi ya Marekani.

Wananchi wanadai kifo sio cha mtu mmoja tu katka mlipuko uliosambaa maili 155 ingawa polisi wamepinga na kusema mmoja tu.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni