Jumatano, 10 Julai 2013

MCHEZAJI BORA WA UEFA 2012\2013 HUYU HAPA...ANGALIA MCHAKATO MZIMA UANAVYOKUWA KATIKA KURA NA ORODHA YA KWANZA KABLA YA KUCHAGULIWA 10 BORA

Majina ya wachezaji 10  wanaowania tuzo ya Mchezaji bora wa UEFA 2012\2013 yamewekwa hadaharani huku timu ya Bayern Munich ikitoa wachezaji wanne.

Shirikisho la soka la ulaya Uefa limebainisha kuwa mchakato huo utafanyika Monaco Agust mwaka huu amabapo wanahabari mbalimbali  kutoka nchi mwanachama wa UEFA watakutana kumchagua mchezaji bora wa UEFA.

Mchakato huo utakuwa unamtaka kila mwandishi wa habari kuandika majina matano ya wachezaji amabao anaona wanafaa  ila mchezaji wake wa kanza kumuandika ambaye anaona ni bora zaidi atapata kura 5,na wa pili 4 na kuendelea.

Hivyo mchezaji atakayejikusanyia pointi nyinga ndiye atakayeibuka mshindi.
Tukirudi miakamiwili iliyopita Tunzo ya mwaka 2011 ilichukliwa na Lion Messi na mwaka 2012 ilibebwa na Andrea Iniesta wote kutoka Barcelona.

UCHAMBUZI WA MCHOPER


Mwaka huu kutakuwa na mchuanao mkubwa kwani mabingwa wa kombe hilo wameingiza wachezaji wanne Bastian Shchweinsteiger,Arjen Robben,Frank Riber,Thomas Mullar ambao kwa pamoja walitoa mchango mkubwa kwa timu yao.

Ikumbukwe pia msimu ulipita ulikuwa mzuri kwa mshambuiji Varn Persie ingawa hakutwaa kombe la mabingwa UEFA.Ila kutwaa ligi kuu ya Uingereza na kuibuka kinara wa mabao na mchango wake unaweza ukukubumkwa na wanahabari.

Gareth Bale ni Mchezaji ambaye kwa wakati huu anastahili kupewa heshima kubwa kwa mchango wake kwa klabu ya Tottenhama Spurs.

Hakuna shaka hili jina la Lobert Lendowski lilipata kujulikana sana mwaka uliopita pamoja alikuwa akifanya vizuri klabuni pake ila kuingia kwa timu yake ligi ya mabingwa wakati wakiwa kwenye kiwango kizuri huku akitoa mchango mkubwa tunakumbuka alipoiangamiza Real Madrid kunaweza kukachochea wapiga kura kukumbuka kuwa anastahili.

Lion Messi sio kama wakati umepita wa kunga'aa bado yupo kwenye kiwango vizuri na alitoa mchango mkubwa tuu kwa kalbau yake na alipachika mabao ya kutosha na kusiadia klabu yake kutwaa LA LIGA.

Cristiano Ronaldo nadhani alihuzunika sana kulikosa kombe hili kwani ingekuwa ni tiketi nzuri ya kummrahisishia LAKINI hapa hawangalii hilo tu wanaangalia mchano binafsi wa mchezaji ndipo Ronaldo anapoonekana kufaa kwani ndiye mfungaji bora wa kombe la mabingwa uaya UEFA.
Zlatan Ibramohich hakuna shaka kuwa kila aliyeingia humu anastahahili huyu ndiye mchezaji kutoka Sweden kuwa na kipaji cha ajabu hakosei akipewa jukuma kama alilonalo kwa PSG kasaidia kuwapa ubingwa.

mchoper hosseah
IBRAHIMOVIC ZLATAN
SWEDEN-PSG

ROBERT LEWANDOWSKI
POLAND-BORUSSIA DORTMUND

CRISTIANO RONALDO
URENO-REAL MADRID

FRANK RIBERY
UFARANSA-BAYERN MUNICH

ROBBEN VAN PERSIE
UHOLANZI-MANCHESTER UNITED

GARETH BALE
WALES-TOTTENHAM SPURS

LIONEL MESSI
ARGENTINA-BARCELONA

THOMASS MULLER
UJERUMANI-BAYERN MUNICH

ARJEN ROBBEN
UHOLANZI BAYERN MUNICH


SEBASTIAN SCHWEINSTEIGER
UJERUMANI-BAYERN MUNICH



HII NDIO ORODHA YA KWANZA KABLA YA KUCHAGULIWA KUMI 10 BORA
Gareth Bale (WAL) – Tottenham Hotspur FC
Edinson Cavani (URU) – SSC Napoli
Cristiano Ronaldo (POR) – Real Madrid CF
Dante (BRA) – FC Bayern München
Edin Džeko (BIH) – Manchester City FC
Falcao (COL) – Club Atlético de Madrid (now at AS Monaco FC)
Mario Götze (GER) – Borussia Dortmund (now at FC Bayern München)
İlkay Gündoğan (GER) – Borussia Dortmund
Zlatan Ibrahimović (SWE) – Paris Saint-Germain FC
Andrés Iniesta (ESP) – FC Barcelona
Branislav Ivanović (SRB) – Chelsea FC
Javi Martínez (ESP) – FC Bayern München
Philipp Lahm (GER) – FC Bayern München
Robert Lewandowski (POL) – Borussia Dortmund
Mario Mandžukić (CRO) – FC Bayern München
Lionel Messi (ARG) – FC Barcelona
Thomas Müller (GER) – FC Bayern München
Manuel Neuer (GER) – FC Bayern München
Óscar Cardozo (PAR) – SL Benfica
Andrea Pirlo (ITA) – Juventus
Franck Ribéry (FRA) – FC Bayern München
Arjen Robben (NED) – FC Bayern München
Bastian Schweinsteiger (GER) – FC Bayern München
Robin van Persie (NED) – Manchester United FC
Arturo Vidal (CHI) – Juventus
Xavi Hernández (ESP) – FC Barcelona

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni