KLABU YA INTER MILANI IMEJIPANGA KUMREJESHA MCHEZAJI WAKE WA ZAMANI SAMUEL ETOO HUKU TIMU KAMA MAN U NA CHELSEA PIA WAKIWA KWENYE VITA YA KUMTWAA MCHEZAJI HUYO .
BAADA YA ARSENAL KUMTAMANI CABAYE NA KUTOA OFA ILIYOTUPWA NJE PSG MATAJIRI WA UFARANSA NAO WAMEWEKA MEZANI EURO MILIONI 15.
KOCHA WA ARSENAL WENGER AMBAYE YUPO KIKAANGONI KUTOKANA NA MANENO YA MASHABIKI ANAPANGA KUANDAA PAUNI 35 KWA AJILI YA KUWANASA MICHU NA ASHELY WILIAMS.MICHU ANAGHARIMU 25 NA WILIAMS 10.

BAADA YA KUMUUZA DANIEL OSVALDO ALIYEWEKA REKODI YA USAJILI KATIKA KLABU SOUTHAMPTON SASA WANAMTAKA MCHEZAJI WA CATANIA GONZALO BERGESSIO ILI KUZIBA PENGO LAKE
STOKE CITY WANAWEZA WAKAMSAJILI MELVUL ERDING KUTOKA RENNES JAPOKUWA MKATABA WAKE UNAISHI JUNI 2005.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni