HAWA NDIO WASANII WAKIKE WALILITEKA SOKO LA MUZIKI BARANI AFRIKA
1.JULIANA KANYOMOZI UGANDA
JULIANA KANYOMOZI WANAWEZA WAKAJIULIZA KWA NINI ASHIKE NAMBA 1 NA SIO WATU KAMA ASA WA NIGERIA.LAKINI KIUKWELI MSANII HUYO MWENYE SAUTI YA MAAJABU KUTOKA UGANDA ANASTAHILI KUWA WHITNEY HOUSTON.MUZIKI WAKE AMBAO ANAOUFANYA UMEMSABABISHIA KUKOSA MPINZANI
2.AMANI KENYA
MZALIWA WA THIKA KENYA MWAKA 1980 CECILIA WAIRIMU NI MMOJA YA WASANII AMBAYE AMETAFUTA NAFASI KWA MUDA MREFU KATIKA HARAKATI ZA KUTOKA KIMZIKI LAKINI AKAANZA KUPATA UMARUFU KUTOKA CECEILIA NA KUWA AMANI. MSHINDI WA MTV AWARDA AFRICA KAMA MSANII BORA WA KIKE WA AFRIKA. 2009.PIA KUNDI LA ONE 8 LIMEMSABABISHIA MAKUBWA KATIKA MUZIKI WAKE
3.WAHU KENYA
MWANAMAMA MWENYE SAUTI YA KIPEKEE AKIWA AMEAMUA KUCHAGUA MWANAUME WA MAISHA YAKE MWENYE KAZI KAMA YAKE NAMELESS ANAFAA KUSHIKA NAMBA 3 KUTOKANA NA JUHUDI KUWA ANAZOFANYA TOKA.WAHU KAGWI KWA SASA AMEWEZA KUHAKIKISHA ANAFAHAMIKA KILA KONA NA KWA ASILIMIA KUBWA AMEWEZA KUFANIKIWA KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA.WAHU ANALIST NDEFU ZA SHOO KILA MWAKA\
4.SIPHOKAZI AFRIKA KUSINI
KUTOKA KWA MADIBA SIPHOKAZI MSANII AMBAYE TOKA KIJANA MDOGO YUPO
KWENYE RAMANI YA MUZIKI HUU ANASTAHILI KUWA MMOJA YA WASANII AMBAO WANAFANYA VYEMA KWA AAFRIKA.
5.ASA NIGERIA
AKIWA NA MIAKA 30 LAKINI UMAARUFU WAKE UNAWEZA UKASEMA KUWA YUPO NA MIAKA MINGI SANA DUNIANI.JIAN LAKE HALISI ASHA LAKINI JUKWAANI ASA.MSANII AMBAYE ANAKUBALIKA KWA ASILIMIA KUBWA KUTOKANA NA SAUTI YAKE PIA NA NYIMBO ZAKE ZINAZOGUSA MOYO.
6.SUZANNA LUBRANO ANGOLA
HUYU ANAWEZA KUWA MWANAMAMA AMBAYE PEKEE ANAYEZA KUIBEBA ANGOLA KATIKA ANGA LA MUZIKI.UMAHIRI WAKE MKUBWA KATIKA KUIMBA MUZIKI WA ZOUK UNAMFANYA ASIWE NA MPINZANI.KITU KIKUBWA ALICHOKIFANYA MWANAMAMA HUYU AMBAYE EYUPO DUNIA TOKA MWAKA 1973 NOVEMBER 19 NI KUWA MSANII BORA WA KIKE KWA AFRIKA NZIMA 2003 KATIKA TUZO KUBWA KABISA KORA.LAKINI KWA UPANDE MWINGINAE NI RNB SINGER MKUBWA AKITAMBA NA ALBAMU KAMA SAIDA.
7.BECCA GHANA
UKIONGELEA GHANA KWA UPANDE WA WANAWAKE WANAOWEZA KUIMBA BECCA ATAWEKWA NAMAB 1.HUYU ANAWEZA KUIFIKIA DUNIA KUTOKANA NA STAILI YAKE YA UIMBAJI.PIA NI RNB SINGER ALITAMBA SANA NA NGOMA YA U LIED TO ME

8.ARY ANGOLA
PAMOJA NA SUAZANA LAKINI UKIITAJA ANGOLA JINA ARYOVALDA EULALIA GABRIEL HUWEZI LIACHA KABISA .ARY MTU AMBAYE AMEMPA HAMASA YA KUFIKA HUKO NI LAURYIN HILL.NA ALIAZNA KUIMBA AKIWA NA MIAKA 14.

9.LIRA.AFRIKA KUSINI
PAMOJA NA NCHI ANAYOTOKA WANAWAKE WENGI WANAOIMBA NA KUISHIKA DUNIA,MIRIAM MAKEBA BRENDA FASSIE LAKIN LIRA ANAFAUTA NYAYO .HUYU NI MSANII AMBAYE ANAUZA SANA AFRIKA KUSINI SOKO LA MUZIKI NI LAKE.2009 ALIWEZA AKUSHINDA TUNZO NYINGI NCHINI AFRIKA KUSINI.
10.ZAMAJOBE AFRIKA KUSINI
KUTOKA FRANKFOT SAUTI YA AJABU NDIKO ILIKOTOKA HUKU AKIANZA KUIMBA KANISANI AKIWA NA MIAKA 9 AKIWADUWAZA WATU WENYE UMRI MKUBWA WAKATI HUO.UWEZO WAKE WA KUTUMBUIZA JUKWAANA NA MZUIKI AUPENDAO SOULFULLY JAZZY UMEAFNAYA AFIKE MBALIASIKOTARAJIA.
@@@@@@@@@@@@@@@@@
SI KWA MUJIBU WANGU.......
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni