
KIPA HUYO AMESIFIA USHINDANI NDANI YA KLABU YAKE PIA AKAMSHUKURU KOCHA KWA KUWAMUA KUMCHEZESHA IKER CASIILAS KATIKA MECHI YA UEFA.
KIPA HUYO AMEAHIDI KUPIGANIA NAMBA YAKE MPAKA SIKU YA MWISHO ILI AENDELE KUAMINIWA NA LOS BLANCOS
KIPA HUYO JANA ALIKUWA NA WAKATI MGUMU ALIPOKUWA KUWA ANAICHEZA DHIDI YA TIMU YAKE YA VILLARREAL ALIYOICHEZA MWAKA 2007 TO 2012 NA KUKAA LANGONI MARA 200.
KATIKA MECHI HYO WALITOKA SARE YA BAO 2-2 HUKU BALE NA RONALDO WAKATI WAKISAIDIA MADRID KUZAMA.

NIMETUMIA MIAKA MIZURI MITANO KATIKA VILLARREAL NA ITAKUWA DAIMA MOYONI MWANGU KAULI YA LOPEZ HIYO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni