KOCHA WA REAL MADRID CARLO ANCELOT AMESEMA KUWA CRISTIANO RONALDO NA GARETH BALE
WANAWEZA KUCHEZA PAMOJA .

CARLO ANCELOT
BALE ALIYEJIUNGA KWA KUVUNJA REKODI YA UHAMISHO WA EURO M
100 ALILETA MASWALI ATACHEZESHWAJE NA RONALDO NDANI YA TIMU HIYO.
CARLO ANAONEKANA YU TAYARI KUANDAA MFUMO AMBAO UTAWAWEZESHA
WACHEZAJI HAO GHALI WAWEZE KUCHEZA PAMOJA KATIKA MFUMO AMBAO ATAWACHEZESHA
KATIKA SEHEMU AMABAZO WANAKUWA HURU KUZICHEZA YAANI KUSHAMBULIA KUTOKEA
PEMBENI.
PIA AKAVUNJA UKIMYA BAADA YA RONALDO SAFARI HII KUONEKANA
AKICHEZA KAMA MSHAMBLIAJI WA KATI KWA KUSEMA RONALDO HATAMCHEZESHA KAMA
MSHAMBULIAJI.
PIA AKAMZUNGUMZIA MR REKODI GARETH BALE KW KUSEMA NI KIAJAN
AMDOGO MWENYE KIPAJI KIKUBWA .
KINACHOLETA MASWALI ZAIDI NI TABIA ZA WACHEZAJI HAO KUFANANA KUPENDA KUPIGA PENALTI,ADHABU INGAWA BALE AMESEMA RONALDO NDIO BOSI WA MADRID YEYE ATAAMUA.

CRISTIANO RONALDO NA GARETH BALE WOTE WANAPENDA KUPIGA FREE KICK ITAKUWAJE ISIJE IKAWA KAMA UGOMVI WA DROGBA NA LAMPARD

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni