Jumanne, 24 Septemba 2013

KITUKO CHA LEO MSHABIKI WA ARSENAL ATUPIA JEZI YA ARSENAL KATIKA MECHI YA TROMSO NA SPURS

\
MSICHANA MMOJA MWENYE MIAKA 19 AMETOA KITUKO BAADA YA KUINGIA KWENYE MECHI YA SPURS VS TROMSO AKIWA NA JEZI LA ARSENAL.










AMESEMA YEYE NI MSHABIKI WA ARSENAL PIA TROMSO KWA HIYO ALIENDA PALE KWA AJILI YA KUISHANGILA TROMSO
ILA AKAOMBA RADGI KWA KITENDO CHAKE  KWA KWA KITENDO CHAKE ILIKUWA NI UTANI TU NAKUSEM A YEYE NI MTU MZURI.





HAPA AKIHOJIWA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni