Jumapili, 22 Septemba 2013

TAKWIMU NA RIPOTI ZA KUVUTIA KUELEKA MANCHESTER DERBY

KUELEKEA MANCHESTER DERBY

MANCHESTER CITY VS MANCHESTER UNITED

RIPOTI KUELEKEA MECHI NDANI YA MAN CITY

MAJERUHI KATIKA MAN CITY NI MICHAEL RICHARD NA GAEK CLICHY

NDANI YA MAN UNITED
DANY WELBECK BADO ANAENDELA KUUGUZA MAJERUHI YAKE YA GOTI SAMBAMBA NA PHIL JONES ANAYEUGUZA KIFUNDO CHA MGUU.

 TAKWIMU ZA KUKUTANA KWA MANCHESTER UNITED NA CITY MAN
*MSIMU ULIOPITA TIMU HIZI KILA MMOJA ALIMFUNGA MWENZAKE KATIKA UWANJA WAKE WA NYUMBANI.
MAN UTD ILIMFUNGA MAN CITY ETIHAD KWA GOLI 3-2  MWEZI DECEMBER
MAN CITY ILIMFUNGA MAN UNITE GOLI 2-1 KATIKA DIMBA LA OLD TRAFFORD MWEZI APRIL.

*KATIKA MECHI 10 ZILIZOPITA WALIZOKUTANA NDANI EPL MANCHESTER UNITED AMESHINDA MECHI 6 NA MANCHETSER CITY IMESHINDA MECHI 3.

*KATIKA MISMU MINNE ILIYOPITA CITY IMESHINDWA KUSHINDA MARA 3 KATIKA MICHEZO MIWILI YA UGENINI.

*MANCHESTER UNITED WAMESHINDA MICHEZO 9 KATIKA YA 16 WALIYOSAFIRI KUWAFUATA MANCHESTER CITY AMABO WAMESHINDA MARA TANO HUKU WAKITOKA SARE MARA 2.

REKODI ZA KUVUTI KUTOKA KWA MAN CITY

*MAN CITY WANAREKODI NZURI YA KUFUNGA KATIKA MICHEZO 52 WALIYOCHEZA KATIKA UWANJA WAO WA NYUMBANI INGAWA MAN UINTED NDIYE WANSHIKILIA REKODI YA MUDA WOTE  NDANI YA MECHI 62.

*KWA MARA YA KWANZA WALISHINDWA KUFUNGA GOLI KATIKA MECHI ILIYOPITA DHIDI YA STOKE CITY ILIYOISHA KWA SARE YA TASA NDANI YA MSIMU HUU.

MANCHESTER UNITED REKODI ZAKE HIZ HAPA


*WAYNE ROONEY NA ROBIN VAN PERSIE WAMEFUNGA MABO 28 KATIKA MICHEZO 23 WALIYOCHEZA KWA PAMOJA VAN MABAO 15 ROONEY 13.

*VAN PERSIE AMEFUNGA PENALTI 13 KATI YA 17 ALIZOPIGA.

\*KINGINE TOKA MWKA 2006 ASHELY YOUNG AMEWEZA KUSABABSIHA PENALTI 12 SMABAMBA NA MWENZAKE  GABRIEL AGBONLAHOR AMBAYE AMECHEZA NAYE AKIWA ASTON VILLA.

*MOROUANE FELLAIN AMETOA PASI NYINGI 46 KULIKO KIUNGO MWINGINE ANDERSON ALIYETOA PASI 39.

MECHI ZA MWISHO
Plzen 0 - 3 Man City 17 Sep 2013 CHAMPIONS LEAGUE
Man Utd 4 - 2 B Leverkusen 17 Sep 2013 CHAMPIONS LEAGUE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni