Jumamosi, 28 Septemba 2013

LOPEZ ASEMA YA MOYONI KUHUSU CRISTIANO RONALDO

KIPA ANAYETAMBA KWA SASA NCHINI HISPANI DIEGO LOPEZ AMESEMA NI VIGUMU KUELEZA UMUHIMU WA CRISTIANO RONALDO NDANI YA LOS BLANCOS MARA BAADA YA KUSAINI MKATABA MPYA.

RONALDO NA LOPEZ

DIEGO AMEMULEZA KUWA RONALDO NI MCHEZAJI BORA NA NI HABARI NZURI KWA MADRID KUMUONA AKIONGEZA MKATABA MWINGINE.


KIPA HUYO ANAJIANDAA KUKAA GOLINI KATIKA MADRID DERBY

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni