Jumatano, 11 Septemba 2013

AFRIKA..WASANII 6 WENYE NGUVU YA USHAWISHI BARANI AFRIKA

YOSSOUR NDOUR  SENEGAL


JARIDA LA ROLLING STONE MAGAZINE MWAKA 2004 LILIMTAMBULISHA KAM MMOJA YA WAIMBAJI MAARUFU WANAOISHI.
HUY NDIYE AMEUFANYA MUZIKI WA MBALAX UWE JUU DUANIANI  UKIWA NA VITU KAMA POP NA ROCK IKICHANGANYWA SABAR AINA YA UCHEZAJI  MUZIKI   WA ASILI WA SENEGAL
NI MFANYABIASHARA  MKUBWA SANA NA ANA REKODI LEBEL PIA ANA  KITUO CHA TELEVISHEN.
MSHINDI HUYU WA GRAMMY PIA NI BALOZ IWA UNICEF ANA ANAIMBA KATIKA KAMPENI ZAO KATIKA KUHAMASISHA .

ANGELINA KIDJO
 MBENNI

MSHINDI WA GRAMMY ANABAKIA KUWA DIVA NAMBA ONE IN AFRICA.
PIA AMEWEZA KUFANIKIWA KUFANYA KAZI NA ALICIA KEYS,JOSH GROBAN NA CARLOS SANTRANA.ANA SIFA KUBWA ..HUKU AKIWA NA HIT SONG NINGI WOMB LOMBO,MUTOTO KWANZA..

SALIF KEITA MALI


HUYU ALIANZISHA SUNDIETA KEITA NCHINI MALI. EMPIRE ILIYPO CHINI NA MAALBINO.
HUYU ANABAKIA KAMA  MTAALAMU WA FRO POP.
MSHINDI HUYU WA TUNZO ZA NOBLE FAMILY ANAFAHAMIKA KWA JINA LA GOLDEN VOICE OF AFRICA.
HISTORIA YEKE INAGUSA KIDOGO AKIWANA MIAKA 18 ALIFUKUZWA KIJIJINI KUTOKANA NA IMANI KUWA MAALBINO WANASABABISHA LAANA.
AKAACHIA ALBAMU YA LA DIFFERENCE KATIKA LENGO  KUKOMESHA MAUAJI YA MAALBINO.


YVONNE CHAKA CHAKA  SOUTH AFRICA 


MALKIA WA AFIKA  AMBAYE AMEANZA KUKAA KWENYE STAGE AKIWA NA MIAKA 18 TU.
NI MMOJA YA WATU WALIOPINGA UBAGUZI WA RANGI KATIKA MAISHA YAKE YOTE.
UNAWEZA KUSHAAU NYIMBO KAMA IM IN LOVE WITH DJ NA I CRY FOR FREEDOM
NI BALOZI WA UNITED NATIONA GOODWILL AMBASADOR NA UN


OUMOU SANGARE MALI 


MMOJA YA WANAMUZIKI WAKONGWE KUTOKA NCHINI MALI. AKITUMIA MIDUNNDO KAMA DJEME NA THE KORA A TRADITION  AFRICAN RAP.HUYU PIAALIKUWA NAJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZA KUWAFANYA WANAWAKE WAWE NA HAKI SAWA NA WENGINE...FEMINIMISE.
SANGARE PIA NI BALOZI WA UNITED NATIONS GOODWILL
BALOZI WA CHAKULA NA SHIRIKISHO KILIMO LA UNITED NATION MWKA 2003.
PIA NI MMOJA YA WATU WALIOFANIKIWA KATIKA UJASIRIAMALI...
LAKINI MWKA 2006 ALIINGIA NA UBIA NA  KAMPUNI YA CHINA NA KUACREATE GARI LAKE NA KUITWA OUM SANG.

FEMA KUTI  NIGERIA


MTOTO WA MSANII MAHIRI  WA MSANII WA AFRO BETA FELA ANIKULAPO KUTI.
HUYU KUTEMBEA PAMOJA NA BABA YAKE KWA MUDA MREFU UMEMFANYA AWE MAHIRI SANA.
NA BAADA YA BABA YEKE KUFARIKI MWAKA 1999 NDIPO ALIPOWEZA KULIPUKA KAMA MOTO
HUYU ALIWEZA KUFANYA ASILIMIA KUB A YA MZUIKI WAKE KUKEMEA  RUSHWA ,UMASIKINI NA MASUALA MENGINE YA KIJAMII.
LAKINI MWKA 2001 ALIWEZA KUINGIA STUDIO NA WAKALI KAMA COMMON,MOST DEF NA JAGUAR ...NA KUFYATUA ALBUM YA FIGHT TO WIN ALIYOUZA KWA KOPI  ZAIDI500 000.

OLIVER MTUKUDZI  ZIMBWABE


MWANAMUZIKI MWINGINE HATARI KUTOKA ZIMBABWE AKIWAWAKILISHWA WASHONA KWA KUTMIA SHONA LANGUAGE  HUYU PIA NI MKOSOAJI MKUBWA WA MAMBO YA SIASA.
PIA NI BALZOI WA UNICEF GOODWILL JKWA UKANDA EASTERN NA SOUTHERN...
PIA NI MMOJA YA WATETEZI WAKUBWA WA WANAWAKE PIA MASUALA YA UGONJWA HATARI WA UKIMWI.
UNAKUMBUKA TODII JE NELIA ILIPOFONGUA MACHO KUHUS WANAONGOJA MAL ZA BABA BAADA YA KUFA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni