Jumamosi, 28 Septemba 2013

HABARI KALI 5 ZA UHAMISHO KUELEKEA MWEZI JANAUARY

KLABU YA LIVERPOOL IPO KATIKA MIPANGO YA KUJIIMARISHA KATIKA ENEO LA KIUNGO NA WANAMPANGO WA KUMCHUKUA KIUNGO WA PSG JAVIER PASTORE JANUARY.

PASTORE


MSHAMBULIAJI WA WEST BROM SAIDO BERAHINO ANATARAJIWA KUINGIA MKATABA MWINGINE NA KLABU YAKE HASA BAADA YA KUONESHA MAMBO YAKE KATIKA MECHI DHIDI YA ARSENAL.

BERAHINO

MANCHESERT UNITED WANAMUHITAJI BEKI WA KLABU YA BENFICA EZEQUEL GARAY MWENYE UMRI WA MIAKA 26 INASEMEKANA MASCOUT WANAMUANGALIA TAKRIBAN MWAKA MMOJA

GARAY

BOSI WA ZAMANI WA SWANSEA NA SASA EVERTON ROBERTO MARTNEZ AMEMWEKA KIPAUMBELE WINGA WA VALENCIA ANDREAS GUARDADO MWENYE UMRI WA MIKA 26 KATIKA USAJILI WA JANUARY.

ANDREAS


PAMOJA NA KUJIUNGA NA CHELSEA KIUMAFIA WILLIAN YUPO KARIBU SANA KUJIUNGA NA SPURS KATIKA DIRISHA LA USAJILI JANUARY.
 
WILLIAN

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni