Jumamosi, 22 Juni 2013

WATOTO KUMI WALIOZALIWA KIMAAJABU NA UPEKEE

WATOTO KUMI WALIOZALIWA KIMAAJABU NA UPEKEE DUNIANI

Inasemekana kila siku mamia elfu ya watoto wanazaliwa lakini baadhi yao wanakuwa na upungufu.Wengine wanawaita watoto wa MAAJABU na wengine wansema ni AJALI ZA MAUMBILE sasa hapa wewe anaglia hawa watoto ni maajabu au ajali za kimaumbile


10. MTOTO MWENYE  MKIA 

Top 10 Unique Babies:- Baby with a Tail

India mwaka 2001 alizaliwa akiwa na mkiawa nchi 10 na anchukuliwa kama muungu


9. MTOTO MWENYE VIDOLE 16

Top 10 Unique Babies:- Baby with 16 Toes

Alizaliwa Chinina November 5 2008 akiwa na vidole nane kila mguu na bila kidole gumba 


8. MIGUU MINNE NA MIKONO MINNE

Top 10 Unique Babies:- 4 arms and 4 legs
   Lakshima Tatima alizaliwa India aliwa na mikono minne na miguu minne


7. MTOTO MWENYE VICHWA VIWILI

Top 10 Unique Babies:- The two headed baby
Mwaka 2008 alizaliwa akiwa na vichwa viwili



6. Mutated Baby

Top 10 Unique Babies:- Mutated Baby
.Alizaliwa mwaaka 2006 akaitwa anencephaly.alaizaliwa na matatizo ya ubongo



5. MTOTO ALIYEZALIWA  AKIWA AINA HRLEQUIN- ICHTHYOSIS

Top 10 Unique Babies:- Baby with Harlequin-type ichthyosis
alizaliwa Gilgit,Pakistani alikuwa na ngozi kama ya Tiger aalizaliwa march 2010.Kulionekana kama kuna kitu hakiko sawa katika mikono,midomo na vifuniko macho alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa



4.MTOTO MDOGO ZAIDI KUZALIWA DUNIANI

Top 10 Unique Babies:- World's smallest baby
Amillia Taylor ni mtoto aliyeeka rekodi ya kuwa mtoto mdogo kuzaliwa ni kama bahati .



3. Inter-racial Twins

Top 10 Unique Babies:- Inter-racial Twins
Inavutia sana.Wazazi sawa,tarehe ya kuzaliwa sawa,mfuko mmoja wa uzazi.lakini watoto hawa ni jamii  ua tofauti

2. MWAKA MMOJA LAKINI MJAMZITO

Top 10 Unique Babies:- The pregnant one year old
Huyu ni mtoto wa kike ambaye alibeba mimba iliyotokana na vimelea vya pacha wake tumboni.ila sasa yuko sawa



1. BAADA KUFA ARUDISHA UHAI - MTOTO WA MAAJABU

Top 10 Unique Babies:- Back from the dead - A true miracle baby
Ni mahajabu makubwa sana kwani mtoto huyu baada ya kuzaliwa alitangazwa kuwa alifariki ila baa ya masaa mawil 2i alirejeza uhai wake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni