SAKATA LA USAJILI
Siku chache baada ya Jose Mourinho kuanza kazi ya kuinoa Chelsea mchezaji wa kimataifa wa Nijeria John Obi Mikel ametangaza kuihama Chelsea na kujiunga na Gatasalary ya Uturuki.
John Obi Mikel amesema kuwa pia alipata ushauri kutoka kwa Didier Drogba kuhusu klabu ya Galatasalay ni klabu kubwa sana nchi uturuki na mji uliopo ni mji mzuri sana
Obi mikel alizaliwa April 22,1987 mjin Jos Nigeria na alijiunga na timu Chelsea mwaka 2006.
OBI MIKEL

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni