LUDACO NA SPEARS
Habari za upekuzi zimemnasa mwanamama Britney Spears sasa akiwa ni mtu mtulivu na amani juu ya mahusihano yake na David Ludaco
Watu hawa wanaonekana mitaani kila mara wajiwa pamoja na kumfanya Spears awe mpya na kufurahia maisha.
Britney nimmoja ya wasanii ambao huwa na skendo nyingi amabzo hutengeneza vichwa vya habari

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni