Jennifer Lopeza na Marc Anthony walijkuta wanaungana tena pamoja jumatano hii baada ya kukutana shuleni amabako watoto wao wanasoma muda wa kuwafuata na kuwarudisha nyumbani.
Kwa pamoja walionekana kufurahi na watoto wao huku Marc Anthony akianza kumkiss Emme na pia Max.
Watoto hao walionekana kufurahi kuwaona wazazi wao wapo pamoja kuwasubiri.
Marc Athony na Jennifer Lopez mahusiano yao yaliwavutia watu wengi sana duniani kabla ya kutengana
hapa wakiwa wamekutana jumatano shulen kwa watoto wao Emme na MAx
hapa wakiwa pamoja enzi za mapenzi yao


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni