PAMOJA NA MSHAMBULIAJI HATARI WA MANCHESTER UNITED WAYNE ROONEY KUAMUA KUBAKIA OT NA KUINGIA UWANJANI DK 61 BAADA YA KUCHUKUA NAFAIS YA GIGGS NA KUTENGENEZA MABAO MAWILI ROONEY...ALIKATAA KUSHANGILIA NA WENZAKE.
ROONEY MWENYE JEZI NAMAB 10 AKIWA NA REFA PHIL DOWD WAKATI WENZAKE WAKISHNAGILIA BAO LA NNE LILOFUNGWA NA WELBECK
ROONEY AKITEMBEA TU BAADA YA KUTENGENEZA GOLI LA 3 LILOFUNGWA NA VAN PERSIE.
ROONEY AKIWA KAZINI HUKU REFA PHIL DOWD
ROOONEY AKIWATOKA WACHEZAJI WAWILI WA FULHAM
DAVID MOYES AKIWA NA WAYNE MARK ROONEY AKAIJIANDAA KUINGIA KUCHUKUA NAFASI YA GIGGS
ROONEY AKIWA NA MSHAMBULIAJI HATARI WILFRED ZAHA

WAYNE ROONEY AKIWA MBELE YA NAHODHA VIDIC AKIINGIA UWANJA Liberty Stadium

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni