Jumamosi, 17 Agosti 2013

BENT HUYO FULHAM

DARRENT BENT AMESAINI MKATABA WA KUICHEZEA FULHAM BAADA YA MSIMU MBAYA AKIWA ASTON VILLA KUITOKANA NA MAJERUHI.

BENT 29 AMABYE ALISAJALIWA  KWA KUVUNJA REKODI  USAJILI ALIPOTOA ASTON VILL MWAKA 2011.

KUPOTEA KWA DAREN BENT KUNAWEZA PIA KUKASABABISHWA NA KUIBUKA MSHAMBULIAJI HATARI CHRISTIAN BENTEKE.

KWA UPANADE WA KOCHA WA FULHAM MHOLANZ MARTIN JOL NMI MARA YA PILI KUMNUNUA BENT BAADA YA KUMNUNUA AKIWA SPURS KWA PAUNI MILIONI 16.

DAREN BENT AMEKUWA MCHEZAJI WA SABA KUSAJILIWA FULHAM IKIWA CHINI YA  MMILIKI MPYA SHAHID KHAN AMBAYE PIA NI MMILIKI WA JACKSON JAGUARS.
MARTIN STEKELENBURG KUTOKA ROMA NA ADEL TAARABT ALIYETOKA QPR KWA MKOPO NI MMOJA YA WACHEZAJI WAKALI WALIOSAJILIWA NA ASTON VILLA.

BENT PIA ALIKUWA ANATAKIWA NA NEWCASTLE NA OCHA WA NESCASTLE  ALAN PARDEW AMEESEMA WALIKARBA KABAISA KUMNASA ILA BENT YEYE MWENEYEWE NDIYE KAAMUA KWENDA HUKO NA KUMTAKIAKILA LA KHERI.

BENT ALIFUNGA MABAO 6 KATIKA MECHI 26 ALIZOCHEZA AKIW NA ASTON VILLA HUKU AKITUIPIA MABAO 4 KATIKA MECHI 13 KATIKA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni