Jumamosi, 29 Juni 2013

HAWA NDIO WACHEZAJI WATATU(3)TU WALIO KATIKA WASHEHERESHAJI 100 B0RA DUNIANI WENYE NGUVU YA USHAWISHI

Katika orodha iliyotolewa a jarida la FORBDES la marekani amabalo limetowa orodha ya washehereshaji 100 wenye nguvu ya ushawishi duniani ambapo mwanamama Oprah Winfrey akiongoza orodha hiyo cha kusikitisha wachezaji watatu 3 tu ndio wamo katika orodha hiyo ya 100 bora.
Orodha hii imejaa  waigizaji ,wasanii wa muziki na waandaji wa filamu pamoja na watangazaji.


WACHEZAJI WA SOKA AMBAO WAPO KATIKA ORODHA YA 100 BORA  NI WATATU 3 TU
1.David Beckham wa kwanza kwa wanasoka ila ni kumi na tisa(19) katika orodha ya jumla.
Nguvu yake ya ushawishi si ya kuuliza sana kwani amekuwa akiongoza kwa kulipwa hela nying mara nyingi,kuingiza pesa nyingi,kufanya matangazo mengi hasa penzi lake na Posh limezidi kumfanaya awe juu.
Ushuhuda mkubwa alivyoenda China karibuni tumeona jinsi alivyokuwa na ushawisi kwa watu.










2.Cristiano Ronaldo wa pili kwa wanasoka ila ni thelathini na mbili (31) katika orodha ya jumla.
Toka umasikini mpaka kuwa tajiri ni kazi kubwa sana.Si tu mwonekano wake mzuri ,mwili wa mazoezi.,kipaji cha hali ya juu muda wote,ila pia ni mtu amabaye anajitolea kwa ajili ya watu maskini sana na anaumia kuokana anajua hali halisi ya huko.
Ronaldo anavutia sana makampuni kumpa matangazo kwa sababu anavyoonekana katika jamii pia kutoka na mastaa wakubwa kama Kim Kardishian,Paris Hilton,Rihanna na wengineo kunampa mvuto wa kibiashara sana.


3.Lieon Messi wa tatu kwa wanasoka ila ni wa thelathini na tisa (39) katika orodha kiujumla.Ni mchezaji amabye ametikisa duniani na kusaidia kuitangaz sana liigi ya Hispania  kutokana na ushindani wake na Ronaldo.Pia umahiri mkubwa wa kufamaniwa nyavu .
Messi anashugulika na jamii kama hivi karibuni kaingia katika mpango wa kusmabaza vyandarua laki 4 Afrika.

Hao ndio wanasoka waliopo katika mia moja bora ni kitu kisichofurahisha kuona wachache na wameanzia mbali.
BY MCHOPER

Maoni 2 :

  1. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta
  2. Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
    Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
    *Kama unataka kupata mimba.
    *Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
    *Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
    *Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
    *Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
    Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta