Ilimpasa kusimamisha Bunge spika wa bunge la Nigeria Dare Emiola kumsimamisha mbunge wa Osa ,Fola Olasahinde kutohudhuria vikao kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za uchawi.
Bunge lilifikia hatua hiyo baada yauchunguzi kufanyika na kumkuta mama huyo na hirizi,nyumba za konokonono,konokono hai,pembe za ng'ombe zilizozungushiwa vitambaa vyenye rangi tofauti tofauti,majenenza ,picha kadhaa za watu na wanyama na vimiminika visivyoeleweka vilivyokutwa kwenye chupa katika nyumba yake.
Kamishina wa zamani wa jimbo la Odo Ogunbadejo Kolawole ndiye wa kwanza kufichua siri kuwa mbunge huyo anahifadhi vitu vya kishirikina.
Mbunge alipinga tuhuma hizo zote
.jpg)
.jpg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni