Hispani jana ilifanikiwa kuzima ndoto za Italia kulipiza kisasi cha kuifunga Hispania baada ya kumalizwa katika matuta kwa jumla magoli 7-6.
Jesus Navas hakufanya kosa baada ya mlinzi wa Italia Leonard Bonnuci kukosa penalti na kupeleka furaha hispania.
Italia ikicheza kwa jihadi bila mshambiliaji wake hatari Mario Balotelli ambaye ni majeruhi ilifanikiwa kutoa sare hadi dakika ya 90.
Fainali itafanyika pale Maracana jiji la Rio de Janeiro kwa kutanisha wenyeji Brazil na Hispania
HAWA NDIO WALIOPIGA PENALT
- Spain 0-1 Italy - Candreva
- Spain 1-1 Italy - Xavi
- Spain 1-2 Italy - Aquilani
- Spain 2-2 Italy - Iniesta
- Spain 2-3 Italy - De Rossi
- Spain 3-3 Italy - Pique
- Spain 3-4 Italy - Giovinco
- Spain 4-4 Italy - Ramos
- Spain 4-5 Italy - Pirlo
- Spain 5-5 Italy - Mata
- Spain 5-6 Italy - Montolivo
- Spain 6-6 Italy - Busquets
- Spain 6-6 Italy - Bonucci MISSES
- Spain 7-6 Italy - Navas



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni