Ijumaa, 28 Juni 2013

MCHEKI HUDDAH MONROE NDANI YA BONGO,KUANZI AIRPORT MPAKA MJENGONI CLOUDS

Huyu anafahamika kama Huddah Monroe ni mwanamitindo wa nchini Kenya ila pia ni mshiriki wa BIGBROTHER mwaka huu lakini kwa bahati mbaya alitoka mapema sana.
Lakini kazidi kuwa maarufu kutokana na vituko vyake.Ila hapa kazidi umaarufu pia kutokana na bifu na Diva wa clouds FM huku ikisemekana chanzo ni CMB Prezzo japo Huddah kakataa kama ni Bifu .
Huddah kaonekana kuepusha shari kwa kusema kuwa ni rafiki yake .

AIR PORT NA MWENYEJI WAKE

THE BOSS LADY HIMSELF

BONGO LAND







HUDDAH WITH DJ FETTY IN CLOUDS FM

HUDDAH MONROSE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni