Jumamosi, 22 Juni 2013

UKWELI WA UHUSIHANO WA CRISTIANO RONALDO NA RIHANNA HUU HAPA


Baada kuwepo kwa uvumi kuwa mshambuliaji Cristiano Ronaldo ambaye ndiye mchezaji mweny mvuto duniani kuwa anatoka na mwanamuziki wa rnb Rihanna.Cristiano ambaye katuma picha kutmia mtandao wa kijamii wa twitter akiwa New York huku ameambatana na mpenzi wake amabaye ni mwanamitindo Irina Shayk.
Cristiano na Mpenzi wake Irina wapo na furaha katika likizo yao huko New York nchin Marekani kuwa Irina Shayk kutamfanya ronaldo kutokuwa na ukaribu na mastaa kam ilivyokuwa miaka iliyopita na kufanikiwa kutoka na Paris Hilton na Kim Kardishian



mama wa Cristiano

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni