Neymar ambaye ameonekana kuwa na furaha sana kujiunga na klabu ya Barcelona na kutmiza ndoto zake anaonekana kuwa na kilo ndogo ambazo zitamfanya apate tabu ya kwani atazidiwa kinguvu na wapinzani wake.
Ujio wa Neymar Barcelona umeeacha maswali mengi kwani watu wengi wanajiuliza kama Neeymar atacheza na Messi kikosi kimoja kwana wote ni aina ya wachezaji wanaopenda kucheza kwa kuzungukwa na timu nzima ikiwategemea.
Neymar ujio wake utasababisha faida nyingi san katiika klabu ya Barcelona kwani mtu ambaye ana mvuto wa Kibiashara sana kama mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni