Lady jay dee alisafiri jana kuelekea nairobi huku akiwajuza watu wake kupitia mtandao wa kijamii twtter.
Msanii huyo ambaye alifanya shoo kali na iliyokuwa gumzo wikiend hii ndani ya ukumbi wa wake wa Nyumbani Lounge alijuza kuwa anatka kufanya filamu.
Jide maarufu kama Anaconda naonekana kupania kupanua wigo wake katika Afrika ya Mashariki
n

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni