Jumatatu, 24 Juni 2013

KENYA SASA MAGARI(MATATU) YA ABIRIA YATOA HUDUMA YA INTANET

Wengi wetu hatupendi zile vurugu za barabarani hususan asubuhi wakati kuna msongamano mkubwa wa magari, inakera na kuudhi. Lakini taswira imebadilika katika uchukuzi wa umma siku hizi mjini Nairobi Kenya, unapokwenda kazini na kurejea nyumbani, unapata mtandao wa internet katika magari ya uchukuzi wa abiria maarufu kama matatu.
Ukiwa ndani ya Matatu hizo unaweza kusoma barua pepe na kusoma habari kwenye mitandao mbali mbali.
bbc swahili chanzo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni