Lakini Obama ambaye alipata fursa ya kuzngumza bbaada ya kumaliza mazungumzo
Na rais wa nchi hiyo Jacob Zuma aikutana na upinzani wa watu ambao waliandamana kupinga sera za Marekani ambazo zimesababisha mauaji kama vile Libya,Afghanstan,Pakistani HUKU WAKIWEKA PICHA YAKE IKIWA NA NDEVU KAMA HITLER.ishara ya kumuonesha yeye ni muuaji.
Hatahivyo polisi waliwatawanya kwa kutumia risasi za mpira,na kufanikiwa kuweka hali shwari nje ya Chuo Kikuu cha Petroria.
Obama hajanikiwa kukutana Mzee MANDELA kutokana n matakwa ya familia kulinda staha ya Mandela na itakuwa vigumu kwa kuwa ombi lake ni la ghafla.Ila atakutana na familia yake Mandela
Obama ataondoka nchi hiyo Jumatatu na kuja Tanzania

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni