Jumanne, 18 Juni 2013

HALITETE ARUSHA

Hali ya ya utulivu mkoani Arusha ilitingishika leo baada ya kutokea machafuko ya mabomu .
Inasemekana kwamba machafuko hayo yalitokea pale Mh Tundu Lisu aliposema kuwa jeshi la polisi pamoja na RPC wanahusika kupanga milipuko iliyotokea
Baada ya kusema hivyo polis waliamua kufyatua mabomu na kuwakamata viongozi wa Chadema ambayo walikimbia kutoka jukwaani walipo.
Gari la Mh Tundu Lisu inesemekana liliunguzwa na pikipiki baadhi yameunguzwa.Hali ya usalama n hafifu kani vijana wasio na kazi wametumia fursa hiyo pia kuiba wengine.
Kwa habari zilizopo baadhi ya Viongozi wamesekwa rumande

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni