Alhamisi, 20 Juni 2013

MWANAUME WA MIAKA 26 AKUTWA JUU YA PAA LA NYUMBA YA RIHANNA

Huko nchini Pacific Palisades nchini Marekani ambako nyumba ya Rihana juni 18 mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 26 alikamatwa na polisi akiwa juu ya paa ya nyumba ya rihanna saa nne usiku.


Mtu huyo alikamatwa kwanza na walinzi binafsi baadaaye waliwapigia simu polisii amabo walimkuta na simu ina google map ikionyesha nyumba ya Rihanna ilipo.


Hilo alipohojiwa alikana kujua kuwa ile ni nyumba ya Rihanna ila mpaka sasa yupo rumande akisubiri taratibu nyingine za kisheria.


Habari hii imevutiwa wengi kwani si mara kwanza kwani Februar mtu mmoja alivamia nyumba ya jirani alipoulizwa allidai alidhani ni nyumba ya Rihanna.Alidai alikuwa anampelekea mashairi Rihanna japo Rihanna alipinga

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni