Jumapili, 23 Juni 2013

EXCLUSSIVEEEE KIM KARDISHIANA AMNYONYESHA MWANAWE HUYU HAPA

.
EXCLUSIVEEEE
KIM KARDISHIANA AWA MAMA WA UKWELI AMNYONYESHA NORH WEST KWA MATITI YAKE MCHEKI HAPA
Kama ilivyo kawaida kwa wasanii wengi wapatapo watoto huwa hawawapi maziwa yake kwa kuogopa kuwa na matiti mabaya basi hiyo ni tofauti kwahuyu Kim Kardishian kakubali kumpa matiti yake.
Watu wake wa karibu wamesema huwa anafurahishwa sana na kumpatia mtoto wake huduuma zote
Kim humnyonyesha na kumbadilisha nepi pale anapocha fua kama wamama wafanyavyo
KIM KARDISHIAN na KANYE WEST wamepata mtoto huyu karibuni na kumpa jina la NORHT WEST

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni