Jumatano, 26 Juni 2013

TANGAZO LA UKAHABA LAMSABABISHAI MKURUGENZI KUFUKUZWA KAZI NA WAZIRI BRAZIL

Huko nchin Brazili Waziri wa Afya wa ncchi hiyoAlexandre Padilha amemfukuza kazi Mkurugenzi wa Idara ya magonjwa ya yinaa na ukimwi Dirceu Grecco kwa madai ya kuwa mzembe katiaka uandaaji wa tangazo la kampeni ya ngono salama.
Ingawa kampeni hiyo iliyopewa jina la NAJIVUNIA KUWA KAHABA ilkuwa na lengo nzuri la kuwaelimisha makahaba ju ya kujikinnga dhidi ya maogonjw ya zinaa.Lakini Waziri aledai kuwa haikufuta uataratibu wa kuomba kibali kutoka wizarani.
Hata hivyo kampeni hiyo imebadilishwa jina na kuitwa SIONI AIBU KUTUMIA MPIRA
WAZIRI WA AFYA BRZILIALEXABDRE PADILHA

DIRCEU GRECCO
MKURUGENZI WA IDARA YA MAGONJWA YA ZINAA NA UKIMWI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni