Jumatano, 19 Juni 2013

HUYU NDIYE KIM KARDSHIAN ANGALIA ALIWAHI KUTOKA NAO CRISTIANO NDANI

Anajulikana kama Kim Kardashian jina lake halisi ni Kimberly Noel Kardshian alizaliwa october21,1980.Alizaliwa nchini Marekani Los Angeles,California.
Kim  ana ndugu zake wa tatu amabayo ni wababa mmoja  ni dada wa 2 Kholea,Kortney na kaka yake Rob Kardishian.Na kwa watoto wa mama yake kwa baba wa kambo Bruce Jenner ni dada wa2 Kylie,Kendale na kaka mmoja Brody Jenner.
Baba yake ni Robert Kardishian na mama yake ni Kriss Jenner ambaye kaolewa na mume mwingine Bruce Jenner
Ni manamitindo maarufu,mbunifu  wa mavazi na pia mwigizaji umaarufu wake umeziidi kuwa juu baada ya kuwa katika mahusiano na rapa maarufu kutoka kundi la GMF Good Music Family Kanye West.
Na hivi karibuni kajifungua mtoto.

LAKINI HII NI ORODHA YA WANAUME AMBAO WALITOKA NA KIM KATIKA KIPINDI TOFAUTI INASHANGAZA



1.TJ Jackson (1994-1998)
2.Damon Thomas (m. 2000–2004)
3.Julian St. Jox (2001)
(during her marriage to Damon)
4.Ray J (2002-s*x tape made 2003(during her marriage to Damon)-2007)
5.Nick Lachey 2006
6.Nick Cannon (Sept 2006-Jan 2007)(during her relationship w/Ray J)
7.FONSWORTH BENTLEY (2006-Feb 2007)
8.Marquis Houston (March 2007)
9.Evan Ross (May 2007)
10.Reggie Bush (2006 (during her relationship w Ray J)-2009/2010)
11.Christiano Ronaldo (April 2010)
12.Shengo Deane (April 2010)
13.Miles Austin (June 2010)
14.Michael Copon (October 2010)
15.Jon Mayer (October 2010)
16.Gabriel Aubrey (November 2010)
17.Kris Humphries (m. 2010–2013)
18.Kanye West (2007–present)
Pia 19.Brett Lockett, The Game,


























Hakuna maoni:

Chapisha Maoni