Jumamosi, 22 Juni 2013

BARNABA AMPOTEZA MAMA YAKE

Mama mzazi wa Msanii Elia Barnaba Inyasi amaefariki usiku wa kuamkia leo kutokana na presha.
Msanii amini ambaye ndio hutoa taarifa kwa sasa kutokana na Barnaba kushindwa kuongea na kupumzika kidogo.
Dada wa Barnaba alisema jana hadi saa saba waikuwa pamoja wakiongea lakini saa 10 hivi ndio akazidiwa na presha.RIP Mariamu Inyesi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni