Msanii wa Muziki wa Rnb Justin Bieber amabaye alizaliwa March 1 1994 akiwa na umri wa mika 19 mwenye asili ya Canada kwa sasa naelekea kuwa Mteja kutokana na matukio anayyokutwa na paparazi akifanya.
Kijana huyu ambaye amejipatia uamaurufu mkubwa kautokana na kufanya muziki mzuri huku akiwa na umri mdogo baada ya kuonekana U tube amabako mama yake ndiye Pattie Mallete ndiye aliyechangia mwanye kufka hapaAmbapo baadaye msanii Usher Raymond alimsaidia kumwinua zaidi.
Justin Bieber hivi sasa amekumbwa na wimbi baya la kuwa na tabia mbaya pia utumiaji wa madawa ya kulevya.
Jambo lililopelka mashabiki wake wamshauri kupitia mitandao ya kijamii kuwa ujana uansumbua hivyo akikosa ajifunze.
Biber januari mwaka huu aliwahi kuripotiwa kukutwa akivuta marijuana na vijana wenzake katika hoteli
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni