Raisi wa zamani wa Afrika Kusin yupo mahatuti kwa mujibu wa tarifa zilizotoka masaa 24 yaliyopita.
Mndela anasumbuliwa na tatizo La Mapafu linaloathiri mfumo wake wa Upumuaji.Hivyo kuendela kutibiwa takribani siku kumi na sita tangu apelekwe ila jana hali ilikuwa ni mbaya zaidi.Yupo Petroria


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni