Alianza Fred dakika ya 42 mshambuliaji ambaye anang'ara sana mashindno haya kwani wiki iliyopita alifunga bao mbili.
Lakini Uruguaya walirudisha kupitia kwa Edison Cavani dakika ya 48.
Uruguay watajilaumu baada ya kupata penati ambayo kipa Julio Cesar aliicheza shuti la Diego Forlan baada ya David Luiz kumwangusha Lugano katika eneo la hatari.
Kabla ya mshambuliaji Paulinho kuhitimisha furaha kwa kupachika goli la pili dakika ya 86.akipokea pasi kutoka kwa Neymar ambaye hakupata nafasi ya kufunga goli katika mechi hii.Hivyo kuipeleka brazili fainali ambapo anamsubiri mshindi kati ya Hispania na Italia
Brazil2
Fred 42′Paulinho 86′
Uruguay1
Cavani 48′
LINEUP, BOOKINGS (5) & SUBSTITUTIONS (4)
Brazil
- 12 Julio Cesar
- 02 Alves
- 03 Thiago Silva
- 04 David Luiz Booked
- 06 Marcelo Booked
- 11 Oscar (Hernanes - 72' )
- 17 Dias Booked
- 18 Paulinho
- 09 Fred
- 10 Neymar (Dante - 90' )
- 19 Hulk (Bernard - 64' )
Substitutes
- 01 Jefferson
- 22 Cavalieri
- 13 Dante
- 14 Filipe
- 16 Rever
- 05 Fernando
- 07 Lucas Moura
- 08 Hernanes
- 15 Jean
- 20 Bernard
- 23 Jadson
- 21 Jo
Uruguay
- 01 Muslera
- 02 Lugano
- 03 Godin
- 16 Pereira
- 22 Caceres
- 07 Rodriguez
- 17 Arevalo
- 20 Gonzalez Booked (Gargano - 83' )
- 09 Suarez
- 10 Forlan
- 21 Cavani Booked
Substitutes
- 12 Castillo
- 23 Silva
- 04 Coates
- 13 Aguirregaray
- 05 Gargano
- 06 Pereira
- 08 Eguren
- 14 Lodeiro
- 15 Perez
- 18 Ramirez
- 11 Hernandez
Ref: Enrique Osses
Att: 60,000

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni