![]() |
| ED SHEERAN |
![]() |
| JUSTIN BIEBER |
Kwa habari zilizoenea zinasema kuwa selena Gomez anatoka na Ed Sheeren ambaye pia ni mwanamuziki kama Justin Bieber kama alivyokaririwa kutokana na kauli yake.Na walikuwa pamoja huko Los Angles
Selena alisema Ed Sheeran ni mtu mtu anayeaminika na ni mtu mzuri sana kuliko Justin Bieber.na kumsifia sana.
Ed sheeran ana nyimbo kali kama give me love,kiss me na the A team zote za 2011.
Ed Sheeran ambaye pia alikuwa mtu wa karibu sana wa msanii wa muziki Tayrol Swift ambaye anahit song i knew you were trouble ni rafiki mkubwa sana wa Selena Gomez.
Sasa imeripotiwa pia Tayrol Swift anatafuta mpenzi mpya je Justin Bieber atachukua nafasi

Tayrol Swift aliyevaa gauni la bluu aktoa ulimi wakati Bieber akikiss na Selena Gomez mei,,,ishara iliyoashiria jambo
Je Justin Bieber atasemaje au atachukua hatua ya kuingia kwenye ugomvi na Ed Sheerana kiasi kufanana na ule wa Criss Brown na Drake juu ya Rihanna.
SELENA GOMEZ
ED SHEERAN




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni