Jumamosi, 22 Juni 2013

ROONEY AWEKA WAZI KUMTAMANI JOSEE MOURINHO

Mshambuliaji wa Mnchester United ameomba heri auzwe Chelsea au Arsenal kuliko kuuzwa nje ya nchi ya Uingereza.
Rooney aliwaambia watu wakewakaribu kuwa anapenda kufanya kazi chini ya Jose Mourinho na kuwa Chelsea ndio chaguo lake la kwanza kama ataondoka Manchesteer United.
Chelsea wanafahamu kuwa Rooney anapenda kucheza katika klabu hasa kipindi cha Jose Mourinho pia hayupo katika hali nzuari ndani ya klabu yake.Lakini Chelsea hawajamuhesabu Rooney kama moja ya wachezaji ambao wanahitajika sana kipindi kwanii wanaumizwa kichwa juu ya kumsajili mshambuliaji hatari wa Napol Edison Cavan.
Rooney ambaye amepinga kitendo cha Feruson kutangaza hadharani kuwa ameomba kuhamishwa.Ndio maana sasa anahofu kuwa atachukiwa na mashabiki wa Man U.
Rooney pia anatakiwa na Paris ST German na Monaco.Ingawa hayuko tayari kufanya kazi nje ya nchi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni