Huamini kama ni mfalme lakini cha kukuthibitishia ni kuwa mapokezi yake ni hitaji kubwa sana kwa Juventus lakini kubwa akazawaidiwa namaba ya Mfalme aliyepita Del Piero.namba 10.Hakika kaupata ufalme.
Haikuwa kazi kubwa kwa Juventus kumchukua mfalme mpya baada ya kusafiri hadi jiji la Manchester kukabidhi milioni 10.
Namba kumi ilivaliwa na wafalme muda wote MICHAEL PLATINI,LIAM BRADY,KARIM BAGGIO na ALEXANDRE DEL PIERO.
TEVEZ alisema anahisi ana wajibu mkubwa kwa kuvaa jezi hiyo namba kumi na natambua wajibu mkubwa wa kuwakilisha klabu yake ya Juventus.
Tevez ni mfalme wa JUVENTUS

.jpg)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni