Rapper Kanye West ambaye ni mmoja ya wasanii wasiopenda kupigwa picha na kupenda maisha ya usiri imefahamika ameshampa jina mtoto ambaye bado watu hawajajua jinsia vizuri kutokana na usiri wake.
Pamooja na mpenzi wake Kim kardishian kuwa ni mtu wa Kamera toka yuko chini ya mama yake lakini huku mambo ni tofauti kwani inaaminika picha za mtot huyu azitauzwa labada kama walivyofanya masataa wengine.
Jina lamtot huyo kutokana na TMZ ilisema kwenye vyeti vyake imeandikwa ni NORTH hivyo atafahamika kama NORTH WEST kitu ambacho ni Brand kubwa kuwa na majina ya dira....
Wakati huo huo Kanye kaongoza mauzo ya kopi akimshinda msanii mwenzake wa BMF Big Sean



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni