Barack Obama kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa kama rais wa Marekani kwa awamu nyingine anaanza ziara ya kwanza barani afrika katika nchi ya Senagal na Tanzania.
Lengo la ziara ni kuhamaisha demokrasia na uchumi.
Lakini kwa sasa waafrika wapo wanasikilza kwa makini Afrika kusini kuna nini kinaendelea kwa shujaa wao MANDELA wakati huohuo Obama ambaye bado ana deni kwa wafrika kwa kupewa imani kubwa ambayo imepote ziara yake inaelekea kukosa mashiko pamoja na mvuto wake wote.
Afya ya Nelson Mandela inaweza kuamua ziara hii iweje kwani hali ikiwa mbaya hataweza kuweka rekodi kubwa katika ziara yake,ambaye ni ya historia.
Obama pia yeye mwenyewe ni MANDELA ni shujaa wake japo mara ya mwisho ni mwaka 2005 kuonana wakati Obama alipochaguliwa kuwa Seneta.
Kama mungu akimchukua Shujaa huyu wa Afrika ziara hii itakosa mashiko kabaisa ingawa ombi letu waafrika kuwa aendelee kuishi.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni