Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na sasa Real Madrid inasemekana amefungua milango ya wazi kurudi Old Trafford baada ya kubainika atafanya mazungumzo baada ya siku tatu na klabu ya Manchester United.
Ronaldo anaweza kuondoka kwa urahisi baada ya Liverpoool kumuita wakala wa Suarez kuhusiana na habari kuwa Real Madrid wamefikia muafaka na Suarez.
Sasa kusajiliwa kwake Suarez kunaweza kufungua milango kwani itawawi vigumu kumuweza kummliki Ronaldo



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni