20.RICK ROSS
Rappa ambaye amekuja hivi karibuni ana ukwasi wa dola milioni 25.CEO wa MAYBACH MUSIC.Albamu yake Teflon Don ilishik namab 2 katika Billbord chati.
20.TI NA TPAIN
Hapa panawakutanisha marapa wawili tofautui mmoja akiwa na stahili za commercial yaanii TPAIN na TI ambaye anafanya Hip Hop ya kigumu.Utajiri wao wote ni dola milioni 40
19.NELLY
Huyu ni msanii aliyepata umaurufu wake kuanzia mwaka 2000 kwa kibao chake cha DILEMA.Yeye ukwasi wake ni dola milioni 55.
18.BUSTA RHYMES
Huyu anafahamika kwa stahili yake ya kurap kwa haraka huku akitumia staili ya nguvu.Ni kama mpasuko anapokuwa nafanya vitu vyake.KIKUBWA albamu zake saba zilifika kiwango cha PLATNUM AU GOLD.Ni kiwango cha juu.Ukwasi wake dola milioni 60.
17.LUDA CRISS
Huyu nae ni rapa ambaye anatumia staili ya haraka.KIKUBWA albamu zake zote alizotoa ni lazima zifike 5 boratika Billboard.Pia anaigiza mfano alicheza filamu ya CRESH,FRED CLAUSE na 2 FAST 2 FARIOUS.UKWASI wake ni dola milioni 65.
15.BEASTIE BOYSHili ni kundi linaloundwa na MIKE D,MCA na AD-ROCK.Ni moja ya kundi la Hip hop linaliheshimika kwa kazi zake lina ukwasi wa dola milioni 7514.TIMBALAND
Huyu ni rapa ambaye pia amejijengea umaurufu akiwa kama muandaji wa muziki (produza).aliwahi kuwatngenezea beat Justin Timberland,marehemu Aaliyah.Miss Eliot na wengine wengi.UKWASI wake ni dola milioni 75.13.PHARRELL WILLIAMS
Huyu wengine wanamtambua kama mwanamitindo kutokana kuwa huko pia lakini ni rapa hatari japokuwa ni mwanamitindo mzuri pia ana ukwasi wa dola milioni 77.5.12.LL COOL .J na11. AKON
LL Cool J alikuwa moto sana katika Hip Hop miaka ya 90 ila akaaumua kujaribu bahati katika filamu ambako nako alipata kufanya maajabu sana naye ukwasi wake unathamani sawa na Akon ambao kila moja ana dola milioni 80. Konvict lebo ya nguo ni moja ya sehemu ya kipato ,pia muziki na rekodi lebo yake vinamfanya Akon kuingiza pesa nyingi.11.KANYE WEST
Huyu ni mfanyabiashara haswa huku akitumia zaidi Commercially staili na teknolojia sana pia yupo katika mitindo ana ukwasi wa dola millioni 90.
10.LILI WAYNE
huyu ni rapa ambaye anahistoria kubwa pia na staili yake ya swagg rap ilimpa umaarufu sana ni kiongozi wa YCMB.ANA UKWASI wa dola milioni 95
9.ICE CUBE

8.SNOOP DOGG.
Rapa ambaye anafahamika kwa kuihusudu marijuana hadharani na sasa kauvaa urasta kisawasawa.
Huyu ni rapa aihie katika nafasi za juu ya utajiri kwa muda mrefu.UKWASI dola millioni 110.
7.BIRDMAN
6.EMINEM
Alijipatia umaurufu mkubwa katika muvi ya Anaconda ila pia kundi lake la N.W.A kutoka West Cost huku wakitumia gangstar rap.Ana ukwasi wa dola milioni 100.bado yupo kwenye filamu
Huyu ndiye mkuu wa Cash Money Rekodi na kafanya kzi kubwa kuinua kampuni yake kuwa na brandi kubwa sana.Ukwasi wake ni dola milioni 115
Ni mmoja wa marapa ambao wamekuwa kivutio katika muziki wa hip hop marekani kwa staili ya kuimba kwa haraka na sauti ya juu.Pia anajulikana kwa tabia yake ya kuweka stori kabla ya kutoa nyimbo au albamu.UKWASI wake ni dola milioni 120
5.50 CENT
Hivi karibuni aliwaza kuingia katika kudhamini ndondi hii yote ni harakati za biashara zake.Pia ni mwekkezaji mkubwa sana.UKWASI WAKE ni dola milioni 250.
4.DR DREE
.Sasa hivi anachekelea mafanikio yak makubwa ya mauzo na mahitji makubwa ya headphone zake zijulikanazo kama beats by Dre.Ukwasi ni dola milioni 260.Huyu ni produza mkubwa sana duniani na rapa.
3.MASTER P

Huyu ni anashugulika na vingi n i mwandishi wa rap.ana rekodi lebo,msimamizi wa makampuni,michezo ya game p.UKWASI ni dola milioni 350.
2.JAZ Z

Mmiliki na mwanzilishi wa Roc-A-Fella records.Ni rapa mwenye mafaniko kwa muda mrefu sana pia anafahamika kwa mashaihiri yenye utata.UKWASI wakei ni dola milioni 475.
1.DIDDY
Huyu anamoto na utajiri.Anamiliki kampuni ya Bad Boy Rekodi huku akimiliki wasanii mbalimbali.Ni alam ya mafanikio ya Muziki wa Hip Hop.UKWASI ni dola milioni 500
by mchoper2
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni