Jumanne, 2 Julai 2013

TANZANIA YAONEKANA BBC NA KUTAMBULIWA KAMA NCHI INAYOKUWA KWA KASI KIUCHUMI

Tanzania imetangazwa kama nchi amabayo inakuwa kwa kasi kubwa sana kwa uchumikatika kituo cha BBC.
Tanzania itadhihirisha hili dhahiri endapo mradi wa  dola za kimarekani Billion 7 ulioahidiwa ukifanikiwa mabao uanhusisha nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni