Jumamosi, 13 Julai 2013

MAMA AMCHANA USO MWANAWE MWENYE MIEZI NANE KWA MKASI...KISA..

Mtoto mwemye miezi nane Xiao Bao na  amenusurika kuonja umauti baada ya kupata kipigo kutoka kwa mama yake baada ya kumuuma ziwa lake wakati wa akinyonyeshwa.

Mtoto huyu inasemekana alipigwa na mkasi na kuachwa chini huku mama yake akionekana kuchanganyikiwa baada ya kufanya tukio.

Mjomba mmoja wapo alimuona mtoto huyo akiwa amelala katika dimbwi la damu na kumuwaisha hospitali.
ambako anapatiwa huduma hadi sasa.

Katika vipimo vinaonekana kwamba hana tatizo lolote la akili,,,,,,,,,,

Takwimu za mwaka 2009 za zilichapishwa china zinaonekana kwamba asilimia 91 ya watu wazima millioni 173 waliwahi kupata tatiyo la akili.




MJOMBA WAKE ALIMPELEKA HOSPITALI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni