Jumatano, 17 Julai 2013

MANCHESTER UNITED YAKATAA OFA YA CHELSEA NA WACHEZAJI WAWILI

Baada ya kasumba kubwa ya kuwakosa wachezaji wawili Alcantara na Fabregas klabu ya Manchester United imekataa ofa ya pauni milioni 10 na kubadilishana na Juan Matta au David Luiz.

Klabu ya Manchester jumanne ilkataa ofa hii ya kumchukua Rooney huku ikisema hauzwi...labda yeye mwenyewe atimize  vigezo vya kuvunja uhusiano wote kiujumla wa mikataba na klabu hiyo.

Rooney amekuwa kwenye vichwa vya habari kutokana na taarifa yake kumuomba kocha wake wa zamani Sir Ferguson kuihamaklabu ya Manchester united huku akizidi kuwa na hofu kutoka kwa mashabiki kama atachezea klabu hiyo msimu ujao.

Wyne Rooney kabakiza miaka miwili katika mkataba wake na Manchester United.
Manchester United reject Chelsea's £10m-plus-Mata-or-Luiz offer for Rooney

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni