Ronaldo amesema haya baada ya siku chache kocha David Moyes kutambulishwa rasmi kama kocha wa Manchester United huku akiweka nadhiri ya kumtwaa.
Ronaldo amesema kuwa ataendelea kuikumbuka ligi ya Uingreza kwani ndipo alipokuwa na kipindi kizuri katika maisha yake ya soka yote na kila mtu anajua.
Ronaldo akaongeza kuwa ila kwa sasa yupo Hispania na anafurahia pia kucheza ligi ya Hispania.Kucheza Real Madrid amabayo ni klabu kubwa na sasa mawazo yake yote yapo Real Madrid.
Kwa hiyo inamaanisha Ronaldo kavunja mzizi wa Fitina kuwa ataenda wapi.
RONALDO ATAENDELEA KUKIPIGA HISPANIA KATIKA KLABU YA MADRID
RONALDO AKIPASUA MALENGO YAKE MSIMU UJAO


.jpg)
.jpg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni