KLYIN AMUANIKA REGNALD MENGI HAMNA SIRI AONYESHA FURAHA YAKE
Msanii ambaye alitamba sana katika muziki wa Bongo fleva pia ni miss Tanznaia wa mikaka ya nyuma Jacklin Ntuyabaliwe ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ambayo yalikuwa ni siri kwa muda huku tetesi zikiwa zinaendelea kuhusu yeye.
Klyin kupitia akaunti yake ya twitter aliamua kuweka wazi kwa watu wake.
Sasa ni mama wa watoto waili mapacha wenye miezi minne Baba yao ni Regnald Mengi na akajuza kazi anayofanya.
Hapa akiwa na furaha na mumewe Regnald Mengi na watoto wao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni