Jumatano, 3 Julai 2013

NEYMAR AITIBUA MANCHESTER UNITED

Mchezaji ambaye ametokea kuiteka dunia sasa Neymar Dos Santos ameichokoza klabu ya Manchester kwa kutamani kumuona Rooney akicheza naye Barcelona.
Mbrazili huyo ambaye ndiye mchezaji bora wa kombe la mabara alisema Rooney ni mchezaji mwenye kipaji na atakuwa bora kama atajiunga na Barca na napenda kuona nikicheza naye.
Kauli hii inaweza ikawa sio nzuri kwa Man u kwani Cristiano Ronaldo kathibitisha kubaki Madrid hivyo huduma ya Rooneyy ni muhimu
NEYMAR

NEYMAR

ROONEY


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni